watu wa bongo

Nitachagua kiongozi bora sio bora kiongozi. Mwenye kuchapa kazi na kuleta maendeleo

 

Usipopiga kura inaweza kusababisha kupata kiongozi asiye na sifa na mwishowe kuathiri mfumo wa maendeleo.

 

Kutopiga kura inaweza kuathiri maisha yako mwenyewe. Nahitaji kiongozi atakayetuwezesha kuwafikia wateja wa nje ya Kiwila.

 
Tazama Video

Miguu yangu mibovu hivyo sintoweza kushiriki zoezi la upigaji kura. Nawasihi vijana na wananchi kwa ujumla wakashiriki kuwachagua viongozi walio bora.

 

Cha kwanza ni kusikiliza sera za wagombea ili kumtambua kiongozi bora, lakini pia lazima awe mwadilifu, mchapakazi na anaejali maslahi ya wananchi.

 

Maendeleo huletwa na ushirikiano wetu sote katika kila jambo. Hivyo mimi na wewe tushiriki zoezi la upigaji kura 2020.

 

#NguvuYaTano

Jiunge na washkaji zako wanne mtiane hamasa kushirikiđź’Ş

Chukua hatua sasa