lifahamu jimbo lako

Tanzania ina majimbo yasiyopungua 214, fahamu zaidi kuhusu jimbo lako hapa

Know your constituency

Here are the constituencies for Kilimanjaro

  • Moshi Mjini
  • Moshi Vijijini
  • Same
  • Mwanga
  • Hai
  • Siha

Wagombea wa uraisi

Wasifu wa kila mgombea wa urais utajitokeza hapa mara tu watakapoteuliwa na vyama vyao. Hakikisha unafuatilia kipengele hiki kupata taarifa hizo pale zitakapopatikana.

Mwishoni mwa Julai
Kuvunjwa kwa
bunge la jamhuri

Bunge litavunjwa kuashiria mwisho wa kipindi cha uraisi na kuruhusu taratibu za uchaguzi.

Julai - Agosti
Taratibu na chaguzi
ndani ya vyama

Wagombea wa urais watakao wakilisha vyama vya siasa chama wanachaguliwa.

Agosti - Oktoba(wiki ya tatu)
Kampeni za uchaguzi zinafanyika

Wagombea wanapita maeneo mbalimbali ya nchi kunadi sera zao na kuomba kura.

Siku 1 kabla ya uchaguzi
Kampeni zinafikia kikomo

Harakati zote za kampeni zinasimama siku moja kabla ya uchaguzi kupisha usafirishaji wa masanduku ya kupiga kura.

Oktoba(Wiki ya 4)
Uchaguzi Mkuu unafanyika

Watanzania nchi nzima wanaenda kupiga kura za kuchagua raisi, wabunge na madiwani.

Siku 4 - 6 baada ya uchaguzi
Matokeo ya uchaguzi yanatangazwa

Vituo vya kupiga kura vinatangaza matokeo ya majimbo na tume ya uchaguzi inatangaza matokeo ya uraisi.

Wiki ya pili Novemba
Rais mteule ataapishwa na kuanza kazi

Baada ya matokeo kukaguliwa na kukubaliwa, mgombeaji aliyechaguliwa anaapishwa na jaji mkuu.

Mwezi mmoja baadae
Baraza la mawaziri linaudwa na kuapishwa

Rais mpya anaunda baraza la mawaziri na muda mfupi baadaye baraza la mawaziri lililoteuliwa linaapishwa.

Januari 2021
Mkutano wa kwanza wa bunge unafunguliwa

Wabunge wapya waliochaguliwa na mawaziri walioteuliwa hushiriki katika mkutano wa kwanza wa bunge.

Sheria za uchaguzi

Huu ni mkusanyiko wa taratibu na kanuni zilizowekwa ili kuhakikisha uchaguzi unakua wa amani na haki.

Katiba ya
Tanzania

Pakua chapisho

Sheria ya uchaguzi
Tanzania

Pakua chapisho

Sheria uchaguzi
Zanzbibar

Pakua chapisho

Sheria ya vyama
vya siasa

Pakua chapisho

Ilani za vyama

Ilani ya uchaguzi
ya CCM

Pakua Ilani

Ilani ya uchaguzi
ya Chadema

Pakua Ilani

Ilani ya uchaguzi
ya ACT Wazalendo

Pakua Ilani

Ilani ya uchaguzi
ya CUF

Pakua Ilani

Maswali muhimu